...
Tuesday, 4 August 2015
Wednesday, 13 May 2015


Kuna viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
Kwenye hii list hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika.
Kwenye list nzima ni kiwanja gani kimekutisha zaidi? nitaomba...
Tuesday, 17 March 2015
Monday, 16 March 2015



Ukizungumzia mashujaa wa nchini Afrika Kusini hutaacha kumtaja Tata Nelson Mandela, ni kweli ila yupo huyu alikuwa anaitwa Sarah Bhartman, kama ulikuwa humjui leo blog hii inakufichulia.
Sarah alizaliwa mwaka 1789, huko Afrika kusini na kufariki mwaka 1815 huko jijini paris Ufaransa akiwa na umri wa miaka 26.
Sara alikuwa anatoka kabila la khoisan na alikuwa amejaliwa kuwa na umbo la...
Saturday, 21 February 2015


Marekani na Uingereza zinaiba taarifa kutoka kwa simu yako
Majasusi wa Uingereza na Marekani walikiuka sheria na kudakua kampuni inayotengeneza kifaa kinachotumika kwa simu za mkononi yaani ''Sim Card''Tovuti moja ya habari za teknolojia imeripoti huko Marekani.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo Majasusi hao waliiba mfumo na data inayowaruhusu kusikiza mawasiliano mbali na kujua alipo mmiliki wa...
Tuesday, 17 February 2015


BY CLARET ADHIAMBO • FEBRUARY 17, 2015 • CELEBS & ENTERTAINMENT, FEATURED • COMMENTS (0) • 52
Just when you thought that customized golden props were only meant for Senator Mike Sonko, Singer Jaguar just acquired one too to prove you wrong.
Days after the ‘One Centimeter’ singer got back from South Africa where he was shooting a video for his...
Thursday, 12 February 2015


Photo Credit: My Digital Life
In recent times, mobile broadband internet has been made possible with the introduction of 3G enabled mobile phones and of course usb modems.
With a 3G enabled usb internet modem, you can browse anywhere, anytime as long as you have your laptop with you.
Sometimes, your internet service provider might go off air and leave you stranded...
Subscribe to:
Posts (Atom)