Tuesday 13 January 2015

http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10890670_1557124857900778_1233432370_n.jpg

Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha maisha ya kihana mwenzetu kama alivyo @rayc kwa sasa.. .
Toa ushauri wako kuhusiana na vijana wenzetu kuingia kwenye makundi ya utumiaji wa madawa ya kulevya.. Nini chanzo na tufanyaje ili kukomesha janga hili

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com