Tuesday 14 October 2014



JINSI A KUINSTALL OGWHATSAPP KWENYE SIMU YAKO ILI KUFURAHIA KUTUMIA NAMBA MBILI...

1) Unatakiwa ufanye full backup katika whatsapp yako unayoitumia sasa, ingia whatsapp nenda setting - chat setting, bonyeza sehem iliyoandikwa backup conservation ( angalia picha hapo chini)

OGWhatsapp Install

2) Nenda katika setting ya simu setting - apps halafu boneza kwenye whatsapp uliyo install mara kwanza, halaf bonyeza clear data ( angalia picha hapo chini)

OGWhatsApp install

3) Sasa katika hatua ya muhimu kabisa, nenda katika sdcard/whatsapp ambalo ni folder lako la whatsapp yako uliyofanya backup, badilisha jina na liandike hivi OGWhatsapp 
( angalia picha hapo chini)

OGWhatsApp

4) Sasa download latest version ya OGwhatsapp kutoka hapa bonyezaHAPA uinstall..

5) Sasa utakuwa na whatsapp mbili katika simu yako, lakin pia hii hatua ya mwisho ni muhimu sana fungua OGWhatsapp, ikikuuliza kuhusu namba kwa ajili ya kuverify weka namba yako ya zamani uliyokuwa unatumia katika whatsapp ya mara ya kwanza, na haitakuomba code kuverify...
Nenda katika whatsapp ya zamani, fungua, itakuuliza namba, andika namba nyingine unayotaka kutumia whatsapp, utatumiwa code kwenye hiyo namba na uverify...

Sasa utakuwa na whatsapp mbili katika simu yako, unaweza ukabadilisha laucher icon na notification icon katika OGwhatsapp, nenda OGmods katika ogwhatsapp ili kujua katika whatsapp ipi umepokea ujumbe....

FURAHIA NA WAJURISHE NA MARAFIKI ZAKO NJIA HII

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com