Sunday 14 September 2014


Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua Lemon baada ya kustaafu kazi ya jeshi.
Fani yake akiwa katika jeshi la Urusi ilikuwa kufunza mbwa jinsi ya kutekeleza majukumu mbalimbali, hivyo si ajabu aliweza kumfundisha Lemon 'ujanja'.
"Hupenda kujifunza na kujaribu mambo mapya na huwa hasahau" amesema bwana Matitsyn.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com