Friday 10 October 2014

Screen Shot 2014-10-09 at 10.37.45 AMNakaaya ni staa wa bongofleva ambae ujazo wa jina lake ulitokana na ‘Mr. Politician‘ ambapo baada ya hapo aliendeleza harakati zake kwenye huu muziki mpaka alipopata ajali Arusha ambayo ilimfanya awe kimya kwa muda mrefu.
Nakaaya ambae pia ni mama wa mtoto mmoja alietimiza mwaka mmoja siku chache zilizopita alirudi kwenye muziki baada ya kujifungua na kutoa single ya kwanza iitwayo ‘blessing‘ ambayo ni dedication pia kwa mwanae.
Unataka stori kama hizi zisikupite? unataka kuwa kupata kila kinachonifikia? karibu ujiunge na mimi kwa kubonyeza hapa 

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com