Sunday 24 August 2014


Cyberspace on Sunday, 24 August 2014 | 20:43

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa timu Real Madrid Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani ya Taifa Stars ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku baada ya mechi ya kirafiki ambapo Real Madrid illifungaTaifa Stars 3-1 katika uwanja wa Taifa. (Picha na Freddy Maro).

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com